Книга Nukuu 150 Kuhusu Mafanikio Na Maisha

- Жанр: Саморазвитие / личностный рост
- ISBN: 9788835432296
- Издательство: Tektime S.r.l.s.
”Kushindwa kunaweza kukuangamiza ikiwa wewe ni mdhaifu, lakini ikiwa wewe una nguvu, unaweza kushinda kutofaulu.”-Wael El-Manzalawy Nukuu moja inaweza kujumlisha kimustasari wazo la sura nzima. Kitabu hiki kina nukuu kadri ya 150 zilizoandikwa na wasomi wengi wa kimataifa.